test

Jumamosi, 3 Desemba 2016

Breaking News:Basi la Super Twiga lapata ajali watu 5 Wafariki papo hapo


 

Basi la Super Twiga linalofanya safari zake kati ya Musoma na Geita lapata ajali watu 5 Wafariki.

Hapa chini ni picha za Basi la Kampuni ya Super Twiga linalofanya safari kati ya Geita na Musoma likiwa limepinduka jijini Mwanza na kusababisha vifo vya watu 5.Majeruhi zaidi ya sitini wamekimbizwa hospitali kwa matibabu. 



Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx