Rais
John Magufuli amemuapisha mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, Simon
Sirro aliyeteuliwa jana kuchukua nafasi ya Ernest Mangu.
Hafla
hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Samia
Suluhu, Waziri wa Mambo ya Ndani , Mwigulu Nchemba na makamishna
mbalimbali wa jeshi hilo.
Sirro baada ya kuapishwa amekula kiapo cha maadili mbele ya Rais Magufuli kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake mapya.
0 comments:
Chapisha Maoni