Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakitoa damu kuchangia Mpango wa
Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, katika ofisi za makao makuu
Mlimani City jijini Dar es Salaam leo, ikiwa ni shughuli iliyopangwa na
kampuni hiyo kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani inayoadhiimishwa Desemba
Mosi kila mwaka. Wafanyakazi hao walitoa damu lita 50 kuchangia mpango
wa damu salama nchini.
Mtaalamu
wa Maabara wa mpango wa Damu Salama Taifa Kanda ya Mashariki, Grace
Isidori (aliyesimama) akisaidia wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kutoa
damu kuchangia mpango wa damu salama katika ofisi za makao makuu
Mlimani City jijini Dar es Salaam leo, ikiwa ni shughuli iliyopangwa na
kampuni hiyo kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani inayoadhiimishwa
Desemba Mosi kila mwaka. Wafanyakazi hao walitoa damu lita 50 kuchangia
mpango wa damu salama nchini.


