test

Ijumaa, 2 Desemba 2016

Taarifa mbaya kwa mashabiki wa Arsenal kuhusu Cazorla


Mchezaji wa klabu ya Arsenal na kiungo wa kimataifa wa Hispania, Santi Cazorla atafanyiwa upasuaji katika kifundo cha mguu wake wa kulia na hivyo atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu.

3aeeab8200000578-3991180-image-a-54_1480615728152
Cazorla ambaye anamiaka 31, aliumia katika ushindi wa 6-0 wa mechi ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Ludogorets kwenye uwanja wa Emirates Oktoba 19.
Taarifa iliyo tolewa na klabu ya Arsenal imesema kuwa mchezaji huyo atasafiri wiki ijayo kuelekea nchini Sweden kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji huo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx