RAIS John Magufuli kwa
mara ya kwanza akikagua gwaride wakati wa kusherehekea miaka 55 ya nchi
yetu kujikomboa kutoka mikononi mwa wakoloni
Amiri Jeshi Mkuu Rais
John Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa taiafa ulipokuwa ukiimbwa
katika sherehe za kuazimisha miaka 55 ya uhuru kwenye viwanja vya uhuru
jijini Dar es Salaam
vikosi vya mbalimbali vya majeshi vikonyosha mbinu za kuwakabili maadui na wahalifu