Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Margart Sitta, mjane wa
Spika mstaafu, Sumuel Sitta wakati alipoitembelea familia ya marehemu
jijini Dar es salaam Desemba 19, 2016. Kulia ni mkewe Mary. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto kwake) wakiwa katika picha
ya pamoja na familia ya aliyekuwa Spika Mstaafu, Samuel Sitta wakati
walipoitembelea familia hiyo, nyumbani kwa marehemu jijini Dar es salaam
Desemba 19, 2016. Kulia kwake ni mjane wa marehemu, Margareth Sitta.
Wengine pichani kutoka kushoto ni watoto wa marehemu, Benjamin Sitta,
John Sitta na Sam Junior.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na mama Margaret
Sitta, mjane wa alieyekuwa Spika mstaafu, Samuel Sitta wakati
walipoitembelea familia ya Spika huyo jijini Dar es salaam Desemba 19,
2016. Wengine pichani ni watoto wa marehemu, kutoka kushoto ni Benjamin
Sitta, Sam Junior na John Sitta.