test

Jumanne, 1 Novemba 2016

Rais Magufuli kufanya mahojiano ya ana kwa ana na waandishi wa habari 4 Novemba


Rais Magufuli anatarajia kufanya mahojiano ya ana kwa ana na vyombo vya habari Ikulu jijini Dar kuzungumzia mambo mbalimbali tangia awe rais Ijumaa kuanzia saa nne kamili 
Mahojiano hayo yataongozwa na Tido Mhando wa Azam Tv na na Ayoub Rioba wa Tbc
Mahojiano hayo yataonyeshwa Azam2 na TBC1

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx