Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na
kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili
kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini
pia msanii huyo amesema alienda ujerumani sio kwa sababu ya hela
alizohongwa ili auze ubunge bali ilikuwa mpango wa muda mrefu kabla ya
kugombea ubunge