September 16 2016 historia nyingine itaandikwa ndani ya viwanja vya makao makuu ya nchi Dodoma ambapo burudani ya FIESTA 2016 inatarajia kudondoshwa hapo kutoka kwa wasanii mbalimbali wa bongo.
Asubuhi ya leo baadhi ya wasanii na wafanyakazi wa Clouds media walipata nafasi ya kutembelea bunge ili kujionea utendaji kazi unavyofanyika na hapa nimekuzogezea picha 13 za mastaa hao kuanzia nje hadi ndani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Clouds media na wasanii wakiwa nje ya bunge
Wasanii G Nako na Jux wakiwa nje ya bunge
Joh Makin
Mtangazaji wa XXL B 12 pamoja na wasanii wengine ndani ya bunge
Kutokea kushoto Chege, Snura, B 12
Kutoka kushoto Maua sama, Mr Blue, Adam Mchomvu