test

Jumamosi, 3 Septemba 2016

Video ya wimbo ‘Waache Waoane’ imekuwa video ya kwanza ya Chege kufikisha views milioni 1 YouTube

Hii ni dalili nzuri kwa muziki wa Tanzania kwani wasanii wengi wa Afrika Mashariki wameshindwa kufikia hatua hii ambayo wasanii wa Tanzania wanaifikia.
Pia hivi karibuni video ya wimbo ‘Inde’ ya msanii mkongwe wa muziki Dully Skyes iliweza kufikisha views milioni 1 ndani wiki mbili.

Licha ya Chege Chigunda kufanya nyimbo nyingi kali lakini hakuwa na nyimbo ambayo video yake iliweza kufikisha views milioni 1 YouTube. Lakni video yake mpya ya wimbo ‘Waache Waoane’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz imekuwa ni video yake ya kwanza kufikisha views milioni 1 ndani ya wiki 4.
COVER Chege
Video ya wimbo uliyopita ‘Sweety sweety’ ambao alimshirikisha Runtown wa Nigeria na Uhuru wa Afrika Kusini una views 697,242 ndani ya miezi nane toka itoke.
Chege
Hii ni dalili nzuri kwa muziki wa Tanzania kwani wasanii wengi wa Afrika Mashariki wameshindwa kufikia hatua hii ambayo wasanii wa Tanzania wanaifikia.
Pia hivi karibuni video ya wimbo ‘Inde’ ya msanii mkongwe wa muziki Dully Skyes iliweza kufikisha views milioni 1 ndani wiki mbili.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx