test

Ijumaa, 23 Septemba 2016

BREAKING NEWS: DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI WAKIWASILI ZANZIBAR MUDA MFUPI ULIOPITA



Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mama wa mtoto wa Super Star Diamond Platnumz, Zarinas baada ya kumpa zawadi rasmi ya mjengo huko South Africa pia wamewasili Zanzibar kufurahia siku hii kubwa kwa Zari, muda mfupi walipowasili huko sasa hivi.


Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx