test

Jumatatu, 12 Septemba 2016

Barua ya Mwl. Nyerere kujiuzulu



Huwa tunaskiaga tu kwamba Rais wa kwanza wa Tanzania  Mwalim J.K Nyeree alijiuzulu nafasi yake ya ualimu katika shule ya Sekondari ya Pugu.Sasa basi hapa leo hii tumeipata barua iliyoandikwa na Mwali Nyerere alipofanya uamuzi wa kujiuzuru kwake na sababu zipo hapa kwenye barua hiyo.Barua ya Mwalimu Nyerere kujiuzulu ualimu Pugu Sekondari, ili kushiriki siasa, Machi 22, 1955.



img_20160912_122635

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx