test

Jumanne, 2 Agosti 2016

Hamisa Mabeto Azidi kuvuruga Penzi kati ya Diamond na Zari


Hamisa Mobeto Kwa sasa amekuwa Kirusi Kwenye Penzi la Mwanamuziki Diamond na Zari Hassan Hasa tetesi zinazosema Kuwa anatoka kimapenzi kwa siri na Diamond.. Hamisa ndiye mwanamke anayemuumiza kichwa Zari wa Diamond kwa sasa.
Hamisa Ameposti hii Video kwenye page yake ya Instagram..............


Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx