test

Jumanne, 14 Juni 2016

Je, wabunge wakatwe kodi kwenye kiinua mgongo? Ndiyo au Hapana



Wabunge wa CCM wameendelea kuililia serikali isitishe mpango wake wa kukata kodi katika kiinua mgongo wanachopata kila baada ya miaka mitano ya utumishi wao.

Je, wabunge wakatwe kodi kwenye kiinua mgongo? Ndiyo au Hapana

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni