Dr. Slaa 4/9/2015
STARTV MAHOJIANO MAALUM
1.Nikweli watanzania wanataka mabadiliko ila Lowassa hafai.
2. Msimamo wa kifalsafa unasema, katika viwili vibovu kibovu zaidi usikichague.
3.Wizara zote alizopita Lowassa kaacha madudu.
4 . watanzania acheni unafiki, Lowassa amesema uongo, mnawezaje kuwa na Rais mwongo?
5. Kati ya maaskofu 34, maaskofu 30 wamehongwa.

0 comments:
Chapisha Maoni