NIMEOTA:
KIONGOZI BORA hata akiundiwa mizengwe na fitina nyingi ili KUMCHAFUA
bado IMANI YA WANANCHI KWAKE inakuwa pale pale, JE! NANI CHAGUO LA WENGI
HADI SASA UONAVYO WEWE HUKO KWENU?
1)Mh. EDWARD LOWASSA(ukawa)
2)Mh. JOHN MAGUFULI(ccm)
3)Mh. ANNA MGHWIRA(act)
MTAJE TUMJUE TUFANYE MAAMUZI
0 comments:
Chapisha Maoni