Wananchi
wa Mji wa Singida wakiishangilia Chopa ya Mgombea Urais wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, wakati ikiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini Singida leo
Septemba 12, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, SINGIDA.Wadau
wa Singida wakitafuta namna ya kupata taswira ya Mgombea wao, wakati
akiwasili kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo leo Septemba 12, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni