Mgombea Ubunge Jimbo la Mtera, kupitia Chama cha Mapinduzi,Livingstone Lusinde,amesema mawaziri wakuu wastaafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa hawapo sawa sawa kichwani kwa kuwa vichwa vyao vimejaa UJI Badala ya Ubongo.
Lusinde amesema anamshangaa Sumaye kwani amepata maisha mazuri akiwa
CCM,amesomesha watoto wake akiwa CCM,na kwamba Sumaye hana sifa za
kuitukana CCM.
0 comments:
Chapisha Maoni