test

Jumapili, 13 Septemba 2015

BREAKING NEWZZZ:CHADEMA WAPATA PIGO KUBWA BAADA YA MGOMBEA UBUNGE WAO HUYU KUFARIKI KWENYE AJALI MBAYA..NI HUYU HAPA..


Aliyekuwa Mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Lushoto Mohamed Mtoi amefariki dunia leo akiwa katika harakati za kampeni jimboni humo mara baada ya gari aliyokuwamo kupata ajari,akiwa njiani kutoka kwenye kampeni usiku huu.
Mtoi pia alikuwa mratibu wa kanda maalumu CHADEMA taifa,
Mungu alitoa na sasa ametwaa,jina lake lihidimiwe,Rabuka akulaze pema peponi kamanda Mohamed Mtoi.
Nawapa pole wanaCHADEMA wowote popote pale walipo na watanzania kwa ujumla wake kwa msiba huu mkubwa kabisa.
Taarifa hii imethibitishwa na msemaji wa chama taifa kamanda Tumaini Makene
R.I.P
Mtoi

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni