Pipi alikuwa akiongea na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
“Unajua kama mtu sio mwaminifu katika ndoa yako hiyo ndio itakuwa tabu
na mtu akiamua kucheat anaweza hata bila simu japo watu wengine wanaona
ni wivu lakini hiyo ni misingi ambayo tumejiwekea tokea tulivyoana,”
alisema.
“Mimi na mume wangu tuna miaka kumi sasa hivi maana tokea tulivyokuwa
hatujafunga ndoa hadi sasa hivi ni miaka kumi inafika. Mimi na mume
wangu tuna misingi mizuri ya uaminifu, na wala hatuna mambo mengi kwa
hiyo hatuna sababu ya kufichana, kwangu mimi naona ni kawaida tu hata
yeye,” aliongeza.
0 comments:
Chapisha Maoni