Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua
athari za mafuriko kwenye barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa
kutokana na vifusi,mawe kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha
hiyo.
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia
akiangalia athari za barabara ya Mombo hadi Soni ambayo imefungwa
kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na vifusi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akitazama maeneo yaliyoathirika
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akipita
kwenye baadhio ya maeneo yaliyoathirika na udongo kushuka na kusababisha
adha kwa wasafiri
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akisistiza jambo kwa wananchi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akisalimiana na wananchi
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati
akiwa kwenye picha na wapiga kura wake mara baada ya kukutana nao akiwa
njiani kuelekea kwenye kukagua athari za mafuriko
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia
akitazama eneo ambalo limetoka jiwe kubwa ambalo lilishuka kwenye
barabara ya Mombo- Soni na kusababisha kufungwa
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia
akiteta jambo na wataalamu wanaosimamia zoezi la kuondosha kifusi na
mawe
Greda likiendelea na kazi yake kama kawaida
Baadhi
ya wananchi wakipita kwenye barabara hiyo mara baada ya greda kuondoa
kifusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyokuwa wameangukiwa na vifusi
Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto,Ramadhani Mahanyu akizungumzia suala hilo
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Bumbuli akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana
na kadhia ambayo wamekumbana nayo watumiaji wa barabara ya Mombo-Soni
kutokana na mawe na vifusi kudondoka
Mbunge
wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na athari za barabara ya
Mombo hadi Soni kuharibika.
0 comments:
Chapisha Maoni