TETESI zilizotufikia sasa hivi zinasema Bondi Bin Salim, yule muigizaji
wa filamu ambaye pia ni mpenzi wa Wastara Juma, amekamatwa na Polisi kwa
tuhuma za kujihusisha na ujambazi. Tunaendelea kufuatilia na tutawajuza
kinachoendelea
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita