Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo
Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika kikao cha pamoja na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote
kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara
Alhaji Aliko Dangote mara baada ya kumaliza kwa kikao chao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
mara baada ya kumaliza kikao chake na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha
Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mmiliki
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote
akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha
na Video na IKULU