Rais Magufuli akimfariji mke wa Marehemu Samweli Sitta, Mama Magreth Sitta katika tukio la kuuaga mwili wa marehemu lililofanyika katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar
Mwili umepelekwa Bungeni Dodoma ambapo leo kwa mara ya kwanza jeneza litaingizwa ndani ya Bunge ili wabunge watoe heshima za mwisho