test

Jumanne, 18 Oktoba 2016

Watu 14 wa Kundi la Taifa jipya, wakamatwa na jeshi la polisi






Jeshi la polisi Mkoa wa kipolisi wa Temeke, limewakamata vijana takribani 14 wa kundi lijulikanalo kama TAIFA JIPYA wenye umri wa chini ya miaka 16 wanaojihusisha na matukio ya uporaji kwa kutumia silaha ikiwemo mapanga jijini Dar es salaam.


Chanzo: ITV channel

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx