test

Jumanne, 18 Oktoba 2016

Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto


Leo ilikuwa uwekaji jiwe la msingi ikiwa tayari kabisa ujenzi kuanza rasmi mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo laini zoezi hilo limeshindwa kufanyika baada ya mkuu wa mkoa huyo kudaiwa kuvuruga kwa makusudi hali iliyompelekea mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kumugomea RC huyo...

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx