test

Jumanne, 11 Oktoba 2016

CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo


Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.


Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx