test

Jumanne, 6 Septemba 2016

Serena Williams aweka rekodi mpya kwa kushinda mechi ya 308 katika Grand Slam


Mcheza tenesi namba 1 kwa ubora duniani kwa wanawake Serena Williams, amefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya US Open kwa kushinda kwa seti 6-2,6-3 dhidi ya Yaroslava Shvedova katika mchezo wa raundi ya 4.

serena-williams
Serena anakuwa ameshinda mechi 308 katika Grand Slam, hivyo ndiye mchezaji pekee aliyeshinda mechi nyingi za michuano mikubwa, amempita Roger Federer ambaye ameshinda mechi 307.
Katika hatua ya robo fainali Serena atakutana na mwanadada Mromania Simon Halep

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx