July 09
2016 Waziri mkuu wa zamani na aliyekuwa mgombea urais kupitia CHADEMA,
Edward Lowassa amekutana na umoja wa mameya na wenyeviti wa halmashauri
wa CHADEMA.
Wakati
akizungumza nao Lowassa amesema chama hicho kinatakiwa kiachane na
uanaharakati na maandamano ili kiweze kujipanga kuchukua nchi 2020,
Lowassa amesema…….
>>>’Chama
cha siasa kazi yake ni kukamata dola basi, hakuna kitu kingine duniani,
vision ya chama cha siasa ni wanasiasa kukamata dola, mnapokaa hapa
mjiandae kukamata dola na sio kitu kingine, acha habari ya maandamano,
maandamano ni process’