Msanii
wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za
muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house
Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na
matumizi ya madawa ya kulevya.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni