Mwanamuziki wa Bongo Fleva "SAM WA UKWELI"
amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 7 katika Hospitali ya Palestina
"Sinza" jijini Dar es salam
mwili wa marehemu umehamishiwa katika Hospitali ya
Mwananyamala.
SAM WA UKWELI ni msanii aliyewahi kutamba Sana na ngoma kama
Sina Raha na nyingine kibao .
Inna lillahi wa inna ilaihi rajioon
0 comments:
Chapisha Maoni