Ajali imetokea leo hii eneo la mkundi Morogoro. Basi la Sekenke express lilokuwa likitokea Dar kwenda kanda ya ziwa limehama njia likagonga mti na kupinduka na kugeukia lilikotoka.
Kwa taarifa za mwanzo zinasema kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 11 wamejeruhiwa.