test

Jumapili, 4 Septemba 2016

Tazama Nyamachoma Festival Live inavyoendelea usiku huu jijini Dar es Salaam



Hii ni tamasha ambalo huusisha zaidi  walaji mbalimbali wa nyama kukutana na kufurahia nyama mbalimbali ambazo huandaliwa na mabanda mbalimbali ikiwemo Nyama ya kuku, Ng’ombe na Mbuzi.

September jiji la Dar es Salaam limepata nafasi nyingine ya kukutana pamoja na kula nyama za aina mbalimbali, Nyamachoma Festival Dar es Salaam imefanyika kwenye viwanja vya Leaders Club.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo wakiwepo wasanii maarufu Tanzania.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Dj Maphorisa kutoka South Africa akitoa burudani ya nguvu

.
.
.
.
.
.
.
.Idris Sultan (Kulia) akiwa na mke wa Mwimbaji Jose Mara

.
.
.
.
.
.
.
.Kushoto: Kajala akiwa na rafiki yake

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx