Tusitafute mchawi, Meghji anajua nini alichofanya! Ni mwaka 2013
Vita ya madaraka ndani ya CCM inayofanywa na Mzee Luhwavi na Ole Sendeka dhidi ya kina Kinana na Nape ndiyo inayosababisha kuchafuana kunakoonekana sasa.
Docs hizi ziliwekwa humuhumu JF, I kept my copy. CHANZO:JAMII FORUM