test

Jumanne, 6 Septemba 2016

MZAZI FEKI WA MWANAFUNZI ACHARAZWA BAKORA NA WALIMU


Mwanza: Walimu wacharuka, wamtandika mama feki baada ya mwanafunzi kuambiwa alete mzazi akaenda kukodi mama. Mama feki alipohojiwa maswali kuhusu mwanae
hanaanaloelewa ndipo walipo amua kutafuta namba ya mzazi kwenye vitabu wakapata kuuliza nyumbani hawana habari zozote za shule wala hawajatuma mtu ndipo Mkuu wa shule na wazazi halisi walipoamua kutoa fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx